Mnyamweziblog
Ijumaa, 15 Desemba 2017
WANAJESHI WA ISRAEL MAZOEZINI.
KANISA LAVAMIWA NA WANYWA POMBE.
Kanisa lavamiwa na wahuni wanywa pombe huu kweli ni mwisho wa dunia
.check this video.
Jumapili, 26 Novemba 2017
LOWASSA CHADEMA TO CCM.
Siri imefichuka baada ya mwenyekiti wa CHADEMA ndugu mbowe kubaini kuwa LOWASA anaonekatana kutaka kurudi ccm Kimyakimya.yaan lowasa alitaka afanye surprise ila watu wameshastuka.
Ijumaa, 24 Novemba 2017
Alhamisi, 23 Novemba 2017
DR SLAA KUWA BALOZI.
Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemteua mpenzani Dr Slaa kuwa balozi.Magufuri amekuwa na mwendelezo wa kuwateua wapinzani.Nakumbuka Dr slaa aliwahi kusema akiwa rais atamshitaki magufuri kwa kuuza nyumba za serikali.
Jumatano, 22 Novemba 2017
Jumatatu, 20 Novemba 2017
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)