Alhamisi, 23 Novemba 2017

DR SLAA KUWA BALOZI.

Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemteua mpenzani Dr Slaa kuwa balozi.Magufuri amekuwa na mwendelezo wa kuwateua wapinzani.Nakumbuka Dr slaa aliwahi kusema akiwa rais atamshitaki magufuri kwa kuuza nyumba za serikali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni