Ijumaa, 15 Desemba 2017

WANAJESHI WA ISRAEL MAZOEZINI.

Tazama wanajeshi wa ISRAEL wakifanya mazoezi ya kujipanga kuchukua mji mkuu wa jerusalem mashariki.hii ni baada ya trump kutangaza kuhamishia ubarozi wake mjini Jerusalem kutoka tel Aviv.

KANISA LAVAMIWA NA WANYWA POMBE.

Kanisa lavamiwa na wahuni wanywa pombe huu kweli ni mwisho wa dunia

.check this video.

Jumapili, 26 Novemba 2017

LOWASSA CHADEMA TO CCM.

Siri imefichuka baada ya mwenyekiti wa CHADEMA ndugu mbowe kubaini kuwa LOWASA anaonekatana kutaka kurudi ccm Kimyakimya.yaan lowasa alitaka afanye surprise ila watu wameshastuka.

Ijumaa, 24 Novemba 2017

LULU AACHIWA HURU.

Lulu ameachiwa huru Leo na serikali imedhibitisha kupitia kwa mtumbua majipu.

Alhamisi, 23 Novemba 2017

DR SLAA KUWA BALOZI.

Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemteua mpenzani Dr Slaa kuwa balozi.Magufuri amekuwa na mwendelezo wa kuwateua wapinzani.Nakumbuka Dr slaa aliwahi kusema akiwa rais atamshitaki magufuri kwa kuuza nyumba za serikali.

Jumatatu, 20 Novemba 2017

mzigo mpya.

Jamani wanaoitaji huu Mzigo upo wa kutosha .umetengenezwa na wajasiliamali kwa kutumia mikono.

















Jumatano, 8 Novemba 2017

Jumatatu, 6 Novemba 2017

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI HALOTEL TANZANIA.

Hizi Hapa nafasi mbalimbali za kazi Halotel Tanzania fungua hii link kuona tangazo lote.>>https://studentswagas.blogspot.com

Ijumaa, 20 Oktoba 2017

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI LEO TAREHE 20/10/2017.NAFASI YA KAZI PROJECT DIRECTOR-PATHFINDER.TUMA MAOMBI YAKO MAPEMA,BONYEZA HAPA KUFUNGUA .https//www.ajirazetu.com/ajira/nafasi za Kazi electrical a engineer.
Serikali imetoa matokeo ya shule za msingi Leo.pamoja na kutangaza ufaulu umeongezeka lakini kuwa shule zimefanya vibaya.hizi ni shule kumi zilizoongoza Tanzania na kumi zilizoshika mkia.zitizame Hapa.



Haya Hapa matokeo ya uropa uefa ya Jana je unatabiri mshindi atakuwa nani Hapa Mimi naona arsenal.