Jumapili, 26 Novemba 2017

LOWASSA CHADEMA TO CCM.

Siri imefichuka baada ya mwenyekiti wa CHADEMA ndugu mbowe kubaini kuwa LOWASA anaonekatana kutaka kurudi ccm Kimyakimya.yaan lowasa alitaka afanye surprise ila watu wameshastuka.

Ijumaa, 24 Novemba 2017

LULU AACHIWA HURU.

Lulu ameachiwa huru Leo na serikali imedhibitisha kupitia kwa mtumbua majipu.

Alhamisi, 23 Novemba 2017

DR SLAA KUWA BALOZI.

Raiswa jamhuri ya muungano wa Tanzania amemteua mpenzani Dr Slaa kuwa balozi.Magufuri amekuwa na mwendelezo wa kuwateua wapinzani.Nakumbuka Dr slaa aliwahi kusema akiwa rais atamshitaki magufuri kwa kuuza nyumba za serikali.

Jumatatu, 20 Novemba 2017

mzigo mpya.

Jamani wanaoitaji huu Mzigo upo wa kutosha .umetengenezwa na wajasiliamali kwa kutumia mikono.

















Jumatano, 8 Novemba 2017

Jumatatu, 6 Novemba 2017

NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI HALOTEL TANZANIA.

Hizi Hapa nafasi mbalimbali za kazi Halotel Tanzania fungua hii link kuona tangazo lote.>>https://studentswagas.blogspot.com