Jumatatu, 5 Desemba 2016

RUFAA YA SEPP BLATTER YAKATALIWA.

Rais wa zamani wa FIFA SEPP BLATTER Leo meingia tena kwenye headlines baada ya rufaa yake aliyoikata kukataliwa na mahakama ya kimichezo ya CAS.Blatter alifungiwa miaka sita kujihusisha na soka kwa makosa ya kimaadili ikiwemo kufanya malipo yasiyo ya kihalali ya paund milion 1.3 kwa rais wa zaman wa UEFA Michael platin.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni