Jumapili, 4 Desemba 2016

YUSUPH MANJI APEWA MASAA 24 .

Yusuph manji amepewa mda wa Massa 24 kuondoa makampuni yake matano5 kuondolewa katka jengo la PSPF quality plaza kwa sababu ya deni.shauri hilo limetokea kutokana na madai ya mda mrefu ya sekta ya ardhi kuambiwa hivo na mahakama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni