Wasanii wanaofanya Kazi kwa pamoja nchini India wamekuwa kio sana ktk jamii yao na dunia nzima je ww msomaji unamkubali yupi kati ya hawa jamaa?.
Jumapili, 27 Novemba 2016
MTANZANIA MWENYE NYUMBA 1500 KIGAMBONI.
HAMIDU ni mtanzania mwenye elimu ya darasa la saba ambae anaamini kufeli shule sio kufeli maisha.baada ya kufeli akajikita ktk biashara sasa ivi ni millionea wa nguvu.MTU huyu anaendekea kumalizia shughuli yake ya kujenga nyumba 1500 kigamboni dar.
MARAIS WA MAREKANI WATOFAUTIANA KUHUSU FIDEL CASTRO.
Marais wa marekani wapishana kuhusu mtazamo wa Fidel Castro.trump anasema Fidel Castro alikuwa mdhalimu na mtu aliewatesa wananchi wake.huku Obama akisema Cuba imejitaidi kurudisha urafiki kati ya nchi hizi mbili.
KABILA LINALOONGOZA KWA KUCHEZA UCHI.
Jumamosi, 26 Novemba 2016
VITA YA OMMY DIMPOZ VS DIAMOND.
Chelsea yavunja rekodi ya spurs.
Mchezo kati ya Chelsea na Tottenham hottspurs ni mchezo ambao ulisubiriwa kwa hamu kubwa sana.spurs ambao walikuwa hawajafungwa hata Mara moja .wamevunjiwa rekodi yao na Chelsea kwa kufungwa bao 2:1 ktk uwanja wa Chelsea.japo spurs ndio walioanza kupata goli dakika ya 11 huku wenzao chelsea wakichomoa dakika ya 45 na kuongeza lingine baada tu ya mapumziko.
MAGAZETI YA TANZANIAYA LEO JUMAPILI.
Naanza kukusogezea habari kubwa zote pamoja na vichwa vya magazeti ya Leo.kuna habari za udaku hardnews na michezo.
Jumapili, 20 Novemba 2016
WANAFUNZI WA THAILAND WASOMA UCHI.
Hii mpya kuwahi kutokea .wanafunzi wa shule za kisasa nchini Thailand wanasoma uchi na mwalimu wao anakuwa uchi.angalia picha hii ya wanafunzi wakiwa uchi darasani.
MAITI ILIYOGOMA KUZIKWA YARUDISHWA MOCHWARI.
RAIS MAGUFURI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA TRA.
Rais wa Tanzania ametengua uteuzi na kutengua bod yote ya bodi ya mapato Tanzania.mwenyekiti huyo wa bod Benard mchomvu amefukuzwa baada ya magufuri kuona uzembe ndani ya bodi hyo.uteuzi mwingne utatangazwa baadae.
DERBY KUBWA KULIKO ZOTE ULIMWENGUNI.
Kwa mujibu wa watafiti wa michezo wanasema mechi ya Leo ya ACMILLAN VS INTER.ndio berby kubwa ulimwenguni kutokea Italy.km kweli ww ni mwanamichezo hutakiwi kuikosa hii mechi ya Leo.je ww unasemaje kuhusiana na hii derby na matokeo yake yatakuwaje?.
MAJANGA MENGINE TENA TANZANIA.
Wakazi 234 wa mtunguru mkoani mtwala hawana mahali oa kuishi na kukaa baada ya nyumba 75 kubomoka na kuezuliwa na mvua yenye upepo mkali uliombatana na radi kubwa na ngurumo.
Jumamosi, 19 Novemba 2016
SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO NOVEMBER 20 2016.
Hizi ndizo hbari motomoto za Leo hii November 20 2016.kuna kila aina ya habri unayoipenda.kwa Maelezo zaidi soma Hapa.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)