Mchezo kati ya Chelsea na Tottenham hottspurs ni mchezo ambao ulisubiriwa kwa hamu kubwa sana.spurs ambao walikuwa hawajafungwa hata Mara moja .wamevunjiwa rekodi yao na Chelsea kwa kufungwa bao 2:1 ktk uwanja wa Chelsea.japo spurs ndio walioanza kupata goli dakika ya 11 huku wenzao chelsea wakichomoa dakika ya 45 na kuongeza lingine baada tu ya mapumziko.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni