Jumamosi, 5 Novemba 2016

MAAJABU YA MUSA.

Mwanamke mmjo nchini Brazil anatambulika kwa jina la vera Lucia da Silva .Aneamua kukaa kwenye na kulala kwenye jeneza ili apate mazingira na uzoefu mzuri sku ya kifo chake.Huku familia take ikifanya vitu wanavyofanya kwenye msiba .Baada ya kutoka humo alisema ilikuwa siki nzuri sana kwake.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni