Mkubwa fela anayesimamia kundi la yamoto band amejibu comment za watu wanaosema eti yamoto band wamepotea kwenye game na hawatasikika tens.waswahili wanasema kimya kingi huja na mshindo tumekuwa kimya kwa sababu tulikuwa tunamatamasha ya fiesta mikoani pamoja na kuyasimamia.hivyo bas mashabiki wajipange kupokea nyingi zingine zinakuja Kali zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni