Aliyekuwa spika wa bungu maarufu sana afrika mashariki na kati mheshimiwa samweli sitta amefariki dunia.Taarifa za awali zinasema amefariki nchini ujerumani akiwa katika matibabu maalumu.hili ni pigo kwa tabora pia.kwa taarifa zaidi kaa Hapa ili kupata data za ukweli zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni