Ijumaa, 4 Novemba 2016

YAYA TOURE AOMBA MSAMAHA.

Mchezaji maarufu kutoka afrika anayecheza ktk club ya Manchester city ya nchini uingereza.maarufu km premiere league.Amemuomba msamaha kocha wake kufuatia kutofautia kati ya wakala wa mchezaji huyo na kocha wa yaya toure.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni