Alhamisi, 17 Novemba 2016

PROFESA JAY AANZISHA LIGI YAKE TANZANIA.

Msanii maarufu nchini Tanzania na mbunge wa jimbo la mikumi licha ya kutatua matatizo ya maji jimboni kwake na kuhamishia studio yake ya MWANAKIZOMBE ktk jimbo la mikumi .pia profesa jay ameanzisha ligi yake inayojulikana km PROFESA JAY CAP.ligi hyo itaanza kwa kucheza michezo wa ugenini wa ngao ya hisani.pia Jana ametoa vifaa vya michezo ktk timu shiriki 32.pia atatoa zawadi na vikombe kwa mshindi wa kwanza hadi mshindi wa name.pia atatoa kwa wachezaji bora ,kocha bora,kipa bora na refa bora.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni