Mwanamziki na msanii machachali kutoka Tanzania ametoa wimbo mpya unaoitwa SUGU akiwa pamoja na mbunge Joseph mbilinyi AkA sugu.humo ndani amewachana wasanii wenzeka km vile Baraka da prince ,johmakin na wengne huku akiwasifia wasafi.ukitaka kuiskiliza download Hapa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni