Nahodha wa timu ya taifa ya england na man United amekutwa kalewa akiwa pamoja na wadada na gazeti la THE SUN.kocha wake amewalaumu chama cha mpira FA kwa kumrusu kulewa huku amevaa jezi za timu ya taifa amesema kambi ya timu hiyo haielewi inavyojiongoza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni