Jumapili, 13 Novemba 2016

RAPPER CHEMICAL NI BIKIRA.

Rappa wa like kutoka Tanzania anaejulikana kwa jina la Chemical anaetamba na wimbo mpya unaoitwa IM SORRY MAMA.Amedai kuwa yeye ni bikira tangu azaliwe hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume .licha ya kuwa bikira pia hajawahi kushiriki mapenzi ya jinsia moja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni