Jumatano, 16 Novemba 2016

NCHI HATARI KUZITEMBELEA DUNIANI NA AFRICA.

Hizi Hapa ndo nchi hatari kuzitembelea dunuani zikiwemo nchi za kiafrika pia .kwa mjibu wa shirika la utafiti duniani limetoa orodha ya nchi kumi duniani na kusema hiyo


yote imesababishwa na vikwazo vingi vilivyomo ndani ya nchi hizo km vita na virusi vya zika pamoja na makundi ya kigaidi km bokoharam na mengne .huku nchi za Norway,Switzerland,Slovenia,denmark ,Sweden I na Iceland zikiwa ndo nchi salama zaidi duniani.Tanzania hakuna usalama.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni