Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina leonel messi Leo 16 november2016 baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Colombia.Ametangaza kufunga utaratibu wa wachezajiwa Argentina kutafanya mikutano na waandishi.Ezequiel kavezzi kuandikwa kuwa ameachwa kwa kikosi cha Argentina kwa kuwa alikutwa akivuta Bangi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni