Jumatano, 2 Novemba 2016

KUPATWA KWA WANAFUNZI

Yule mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha udsm alieonekana akilia kwa hasira  na uchungu na kuonekana ktk magazeti ya mwananchi .Leo amepeta watu wakumsaidia kumlipia ada kwa miaka miwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni