Jumatano, 16 Novemba 2016

ALICIA KEYS FT WIZKID.

Msanii kutoka Nigeria anaejulikana kwa jina la wizkid amepata shavu lingne la kurekodi na mkali wa nyimbo kutoka marekan aka Alicia keys.Alicia keys amesema anampenda wizkid na amepata Bahati ya kurekodi nae nyimbo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni