Jumanne, 8 Novemba 2016

ALIYEKUWA WAZIRI WA ELIMU AFARIKI DUNIA.

Aliyewahi kuwa waziri wa elimu Joseph mungai amefariki dunia jioni hii.kutoka na chanzo cha ITV kimesema tukio hilo limetokea join hii.familia yake imesema inadaiwa na baada ya kula kitu kibaya .ameharisha na kutapika lkn hola.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni