Jumamosi, 5 Novemba 2016

DIAMOND AMCHAMBA ALIKIBA.

Msanii maarufu nchini Tanzania ameshusha kichambo kwa msanii mwenzake Alikiba kwa maneno mazitomazito.Lkn Alikiba yeye kaamua kumjibu kwa njia ya vitendo .je nani zaidi kati yao?.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni