Jumatano, 2 Novemba 2016

MATOKEO YA MPIRA

Matokeo ya Mpira wa miguu kati ya yanga African ya dar esalaam na mbeya city ya mjini mbeya.yanga imezidi kudidimia huku wenzao simba wakipanda zaidi kileleni .matokeo yalikuwa km hvi yanga 1 mbeya city 2 .huku simba wakishinda goli 1 kwa 0 dhidi ya stand united.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni